Ukitaka kujua upinzani ni mzamiaji anayeokoa maisha yake, angalia jinsi wanavyobadilisha upepo. Jana Membe, Kesho Lisu. Kila anayevuma kukosana na Magufuli, anakuwa ni tumaini lao. Poleni sana!
Wewe usifikiri ubobezi was kijasusi wa BM inaweza kuisadia ACT kushinda kirahisi. Yule Ni Kiongozi wa umma aliyehudumu serikalini miaka mingi, anaujua Sana serikali lkn hawezi kutia Siri za serikali kutoka na Sheria ya viapo vya viongozi wa umma
Siasa sio mteremo hivyo mkuu, Muda wa kampeni ukifika apambane awaeleeleze Nini anataka kuwafanyia sio propaganda zisizo na maana hapa.
Membe aliyekulia CCM hawez kuisaliti CCM , Atakuwa ACT Wazalendo lakn mawazo na fikra zake zote zitakuwa CCM