Uchaguzi 2020 Membe atangaza kimbunga cha kumbakumba atakapoanza kampeni rasmi 17/09/2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mh Membe ametangaza kuanza rasmi kampeni kesho 17/09/2020 na kwamba washindani wake wakae chonjo.

Membe amesema anazo mbinu nyingi ambazo atazitumia kuhakikisha anaibuka mshindi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu naye anahangaika 🤔🤔🤔 ,kwa Mara ya Kwanza ndiyo nimeona wagombeya wa hovyo sana
 
Mwanzoni Niliwapa Kura
Membe 5%
Lisu 10%
Magu 83%
sasa Itakuwa
Membe 2%
Lisu 13%
Magu 84%
mkuu kwangu mie naona Magu kapata % chache sana ukilinganisha na namna anavyopiga pini upinzani kwa namna nyingi ...alipaswa kupata 95% angalau.

jana nimeshangaa habari magazetini zoote zinamhusu yeye tu kana kwamba wagombea wengine hawafanyi kampeni kbs, TV's, redio ndio usime.

hakika uwanja wa ushindani ungekuwa sawa Jamaa angekuwa ktk wakati mgumu sana...najua nafsi yako inajua hvy ila kamwe huwezi kukiri hapa!.
 
Hasa Gaezeti liandike Nini Mpuuzi kutwa Kutukana kupanic hana lolote lamaana
 
jana nimeshangaa habari magazetini zoote zinamhusu yeye tu kana kwamba wagombea wengine hawafanyi kampeni kbs, TV's, redio ndio usime.
kama mnafukuza wamahabari nani ataawaandika?
Muhariri makini hawezi kuweka mbele habari ya mgombea wa ADC
 
Back
Top Bottom