Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Musiba alikuwa anatishia hadi wana ccm wenzake atawashughulikia leo anaomba msamaha??
 
Cha muhimu nendeni mkamchangie Mhuni mwenzenu alipe adhabu ya Mahakama.

Musiba amepata musiba wa pili.
Kama alitegemea kutoboa kupitia hiyo njia Naona atakwama tu huyo musiba hana kitu.

Kufulia uzeeni kubaya sana kunamfanya mtu afanye mambo ya kumshushia hadhi kabisa.

Sasa kweli waziri wa mambo ya nje mstaafu ni mtu wa kungangania kuuza mali za Musiba??

Anajiabisha kuliko hata vile anavyodai kuaibishwa na musiba.
 
Duuh kumbe Musiba alikuwa mtu mzito sana aisee
 
Kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…