Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 53
- 75
Kada zamani wa Chama cha Mapinduzi Benard Membe ameibuka tena na kuzungumzia masuala ya kikanda na kimataifa.
Leo amenukuliwa ni mitandao mbalimbali ukiwemo Jamii Forums akieleza kuwa Tanzania inaweza kutengwa kikanda ikiwa haitashtuka na kutekeleza miongozo inayotolewa na WHO wakati huu wa mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Matamshi ya Membe leo yamekuja baada ya viongozi wa kanda ya EAC kukukana kidijitali kuzungumzia mbinu za pamoja za kukabiliana na msambao wa Corona na kukwamua uchumi.
Matamshi ya Membe yamekuwa yakijadiliwa sana mitandaoni na wengine wakiandika "Sema rais wet u", "Jitose Membe urudishe kwenye mstari diplomasia yetu"
Kauli hizi za Membe zinamweka hewani ktk uga wa siasa za nchi yetu.
Membe bado atakuwa na ndoto ya kuwania urais ktk uchaguzi mkuu?