Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!


Mkuu asante kwa taarifa ila naomba nilekebishe kidogo,kwamaelezo yako yote inaonyesha hawa niwauwaji,so sioni sababu yakusema wanacheza kisayani.Kwani siasa simauaji bali ni hoja. Najuwa jambo moja Mungu hataiacha Tanzania mikononi mwa hao unaosema wanacheza kisayani.na kila awazae kupoteza maisha ya mwenzake ajuwe moja kuwa kunawengine naopia wanafanya kazi hiyo hiyo.mwisho kabisa nao pia hawajuwi adui yao.
 
..........Teh teh teh, Mr SlidingRoof au whatever they call u, punguza jazba tujadili hoja iliyo jamvini, swala la katumwa na nani ni hoja dhaifu, kama ndivyo hivyo wewe umetumwa na nani? Membe aka Nyoka wa mdimu??????!!!!!!!!!!
 
..........Teh teh teh, Mr SlidingRoof au whatever they call u, punguza jazba tujadili hoja iliyo jamvini, swala la katumwa na nani ni hoja dhaifu, kama ndivyo hivyo wewe umetumwa na nani? Membe aka Nyoka wa mdimu??????!!!!!!!!!!

Jibu hoja mkuu, SlidingRoof is @ next levels!!
 
Hakuna kitu hapa, ni ngonjera zilezile za akina Balile na yule Msomali Bashe za kutaka eti Lowassa (B.A. Theatre Arts) aje awe Rais wa Tanzania! OVER OUR DEAD BODIES! ALICHOKIKATAA MWALIMU, HAKUNA MWENYE MORAL AUTHORITY NA INTEGRITY lLEO HII ANAYEWEZA KUBARIKI!
 
Mkuu wangu Hutaki Unaacha. Kwa GT yeyote wa JF akisoma na kuufanyia uchambuzi wa kina uzi huu naamini umeeleweka!
 
Siasa ya Tanzania ni ngumu kama ilivyokuwa vigumu kupata maendeleo ya nchi yetu dispite a of all resources..
 
Nimesoma Lila neno katika thread hii na pia kutafakari. Nilichojifunza hapa ni wagonvi wa Membe kmpasulia kuwa ndoto zake za kuwa rais hazimfikishi popote kwa kumwonyesha kuwa hajui anachofanya. Mengine yaliyosemwa hasa kuhusu Richmond sima hakika Kama Yama ukweli wowote hususani wanapomuhusisha rais na Richmond. Rais ndiye aliokoa fedha za serikali zisilipwe kwa richmond wakati walipoomba advance ili afungulie letter of credit kinyume cha makubaliano yaliyomtaka richmond aingize Mitambo nchini kwa fedha zake Kisha apeleke Madai yake serikalini. Kama RAIS angekuwa beneficialy ,asingezuia malipo hayo. Kwamba rostam , lowasa ms Kikwete wamewahi kuwa marafiki hilo halina ubishi lakini ni kweli pia Membe amewahi kuwa rafiki ya wote hao, la maana ni ukweli kwamba katika Siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Kuhusu urais sasa siyo siri Tena kwamba Lowasa na Membe wanagombania urais. Lakini bahati mbaya kwao ni kwamba wanapoteza muda bure kwa vile wote wawili hawawezi kuwa rais. Lowasa hawezi kiteuliwa na ccm, kwa vile itakuwa haijipendi kwa mgombea ambae atashindwa siku ile ile atakapotangazwa. Hakuna chama cha siasa kitakacho kubali ku risk kiasi hicho. Kwa upande wa Membe yeye hana kosa lakini pia Hana sifa. Hana uwezo wala mvuto, kwa hiyo hachaguliki. Nl vizuri watafute biashara nyingine kwa vile hiyo ya Magogoni not reachable.
 
Siku moja baada ya Lowassa kurejea safari ya Morocco walikutana na Kitine katika hotel ya Courtyard na kupanga mkakati wa kubomoa Membe. Jioni yake ndo siku Kitine alitokea kwenye kipindi cha Luninga cha Channel ten. Lowassa mbali na kwamba alilazimisha safari kwa kuitikia mwaliko wa nchi ambayo hatuna mahusiano. Mbali na hilo Lowassa alitoa statement inayopingana na maslahi na msimamo wa nchi kuhusu Declaration of Independence ya Polisario.

Ili kumzima membe mdomo asiseme kuhusu hilo wakaona ni vema tumubomoe kwanza ili anyamaze. Ningekuwa Membe ningewambia wananchi jinsi Lowassa na kamati yake walivyohongwa na serikali ya Morocco ili kupindisha msimamo wa nchi.
 
Kwa upande wa Membe yeye hana kosa lakini pia Hana sifa. Hana uwezo wala mvuto, kwa hiyo hachaguliki. Nl vizuri watafute biashara nyingine kwa vile hiyo ya Magogoni not reachable.
Naulizia hii kumhusu Membe
1. Hana sifa ki vipi?.
2. Hana uwezo ki vipi?.
3. Hana mvuto kivipi?.
4. Hachaguliki kivipi?.
 

Hapo kwenye red ungeandika hivi...who rose from Rags To Riches and has become one of the richest foreign minister ever. Ngojea pesa za Muammar Gaddafi zianikwe hadharani ndo tutajua kama alikuwa na interests of his country first! Karibu mawaziri wote wana mali nyingi ukilinganisha na mishahara yao and I dare to say ni wezi wa pesa za umma.

TAKUKURU mko wapi?

​
 
kweli hapa patamu ila ukweli hawa jamaa ni maadui marafiki nakumbuka maneno ya EL alisema urafiki wetu na JK sio wa mbarambarani kweli mwenye akili anaweza fikiria mbali sana
 
Jembe na Nyundo wan mtihani, hivi unweza ukasema wewe ni msafi halafu ukawa unakula na kulala majalalani
 
We saw through our eyes, hamuwezi kutudanganya kitoto. Even if Lowasa legacy is gone we wil always remember the good he did. who knows what next? Who is Membe anyway? Mbatia can as wel become a foregn minister, what matters is not the post but the output. Pinda is also a primier, stil dont see the talent? Acheni ngonjera na upambe au trip za burebure nje zinawachanganya? tunaona kwa macho yetu na tunachagua. Rais mvaa cheni tena haitawezekana, we want a serious presdent hivyo vijamaa vyenu sio tu kuteuliwa bali mpaka chama chao hakipo. wastage of time? CDM 4 change.
 
Uzuri wa CCM hata kama hutakuwa raisi lakini zile hela za kampeni tu tosha. Ndio maana kila mtu anautaka kwa udi na uvumba. Yetu macho. Ngumi za panzi.
 
me napenda kumuita ZUMA wa tanzania jamani lowasa is man of action,lowasa is a dokta of politics,lowasa is a dokta of platform,lowasa is a 2015 prezda,nani ampe membe rais hivi nchi hii kuna watu wamechanganyikiwa eti membe awe rais uwiiiiii,mungu tuepushe na hili janga..
 
Siku Membe atakapoacha hasira ndio siku hiyo hiyo atakuwa rais

akipewa mamlaka mazito huyu ataumiza watu wengi sana. mifano hai tumeiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…