Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!


Why?....
 
" ikifika mwaka 2016 watatafuta kwa kukimbilia "

Maneno ya Membe ndani ya dk 45

haaaa haass
 
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015.Wakati wa kujadili, wewe na mwakyembe mko tayari kusema ukweli.Ili kuwazima, mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually

:A S-confused1:
 
Gire huyu wa esteem construction??au mwingine??
 
umeonaeee!... Kama kuna vitu vinataka kukutana kutengeneza kitu,ila vinagongana.!

Sometimes huwezi kuamini siasa zetu zimefikia kiwango hiki Strategically! Umafia wakushangaza kabisa!
 
Mimi si mshabiki wa yeyote kati ya EL na Membe. Lakini "Game Theory" sijaona hoja yeyote uliotoa zaidi ya kuonyesha chuki binafsi kwa EL na ushabiki kwa Membe. Watu kama wewe hushindwa hata pale unepokuwa na haki- Kwani unapaniki unashindwa kusema hata yale uliyokuwa unayafahamu kwamba ya ukweli. Kwa kutokujua na kwa uwezo ulioonyesha (wa shule ya msingi) katika hili-nashawishika kusema kama wewe ni mmoja wa mashabiki na washauri wa Membe- Basi mimi Binafsi namsikitikia Membe kwa kuwa ni kama kumshindanisha "Sir Izack Newton na Mwalimu wa Shule ya Msingi-Tanzania. Hata ukiamua kujiboresha sioni ukifikia hata kwa nusu-uwezo wa hata mmoja wa waliotajwa. Ushauri: Acha ushabiki eleza hoja kwa logic kama aliyetoa mada na sio kukurupuka na kuropoka.
 

Mkuu Game Theory,unagonga kwenzi kwenye ncha ya msumari!!
 
Story za kuwazia zaidi na kuunga unga mambo.
 

Game Theory I salute you Mkuu. You are a biblical Saul who turned Paul. You have stayed in that house and you that its roof is leaking. You have now seen the biggest dievergence that exists between these two camps and you can be excused for taking time to know or say all this.

Kwa wale wanaodhani kwamba mtu akieleza mawazo yake kuhusu ubaya wa Lowassa basi anafanya kitendo cha uhaini basi ni vizuri akaamka akaona ukweli wa huyu Warlord ambaye kwake yeye kupata urais wa nchi ni bora kuliko maisha ya watanzania. Nashukuru sana GT kwa kuelewa kwamba description ya Membe ambayo akina Mbopo walikuwa wakiipigia kelele uione sasa iko bayana. Ilipata kusemwa huko yuma kwamba Lowassa ni JANGA LA TAIFA na sasa inaonekana.
 
Siku Membe atakapoacha hasira ndio siku hiyo hiyo atakuwa rais

akipewa mamlaka mazito huyu ataumiza watu wengi sana. mifano hai tumeiona

Kauli hiyo ni sahihi lakini inamuelezea mtu asiyehusika. Ushahidi wa mtu atakayeumiza watu uko wazi na huyu ni Lowassa kwani Kubenea na Mwakyembe wanaweza kuwa mashuhuda wazuri.
 

Ilisemwa humu siku nyingi na mimi naomba nirejee maneno hayo ambayo yalitamkwa na Mbopo: WE MAY NOT KNOW WHO OUR NEXT PRESIDENT WILL BE BUT WE KNOW WHO WILL NOT BE. IT IS EDWARD NGOYAI LOWASS ( B.A. Theatre Arts). Andiko hili linaendelea kudhihiri na very soon watu wake wataligundua hilo!
 
Hutaki unaacha endelea kumshauri Membe asipende kushangilia tu kama siku ya bunge alivyo shangilia alipokuwa anaambiwa mambo na Olesendeka alionekana mwenye Midadi alimanusura avunje viti vya bunge kwa kuutaka urais,

kweli Mzee wa Mvi ni hatari yuko kimya akiitisha press conference ana ongelea tuu afya yake!

Bernald anatakiwa awe makini ngozi yake isije ikageuka na kuwa kama mkeka!
 
Sheba, You couldn't be right on this. Elimination haitampa sifa ya uongozi Lowassa kwani tayari alishafubaa na hasafishiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…