Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Duh! Inaelekea ww nawe ni mmoja wa utatu au? Ok! Membe kaz kwako
 
Hata kama sio chama ila utatu huo unafanya kazi na wanachama CCM haifai tena kwa sababu hawa watatu wana nguvu.sana.ishu hapa ondoa CCM anza na moja kwa faida ya taifa sio faida ya membe.
 
Wewe kwa hakika ni usalama wa taifa yaani maelezo yako yanaonyesha hivyo. Your analysis is intruiging. Ngova tuone picha hii itaisha vipi. Sophia Simba alishasema hakuna mwanaume kama Lowasa. Na juzi Betrice naye amejitokeza kumuunga mkono moja kwa moja. Kwa msemo wa siku hizi kweli Lowasa anatisha. Chezea Lowasa wewe!
 

Hivi kuna watu wanadhani Huyu kiranja wa mipasho,mropokaji,shemeji wa JK na kichwa cha panzi(msahaulifu) anaweza kuwa rais nchi hii?Labda rais wa Lindi na Mtwara!!!!
 
Ndugu zetu waliofariki kwenye mihandara ya kisiasa, milipuko ya mabomu,waliong'olewa kucha,meno bila ganzi poleni sana mhushka mkuu wa uzandiki wote sasa naona anajulikana dah tanzania yangu where are going? 2015 ndio jibu langu
 
Mmmmh sasa ni muda muafaka utoke adharani useme yooòte unayoyajua
 
Membe hata akingia Tatu bora hawezi kuwa Rais wa nchi hii. Atashindwa kwenye mkutano mkuu na akipenya hapo UKAWA hachomoki.
 
well.... JF hii ilikua nzuri sana, sasa sijui hutaki unaacha aliacha au alirestishwa in pieces
 

Mhhhh! Tuliowengi humu nadhani habari hii ipo juu kabisa ya uelew wetu wa siasa za Tz maana inaonyesha imetok jikoni kwa wapishi anyway ngoja niendelee kuw mlaji tu………
 
Membe bado ana ndoto za kuwa rais wa nchi hii??
 
Tumeichoka ccm, watanzania tutampigia kura lowassa na wagombea wa ukawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…