Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Halafu bado maCCM yanasema Richmond ya Lowassa??!!

Mweyekiti wa CCM anakiua Chama kulinda madudu yake lakini bado makada mnamlaumu Lowassa??!!
 
Mkuu sasa wewe architecture ulikuwa wapi wakati hili jengo la sasa linajengwa...!!? na lile la Kesho ambalo linajengwa sasa hivi....!!?? au ulipitiwa usingizi basi anza kufanya kazi ili Jengo la Kesho liwe bora kuliko la leo..
Voice of reason nakusalimia...leo nafukua makaburi angalau nipate nguvu za kusonga mbele...
 
Leo mpaka stress ikimbie yenyewe....
 
Ni bandiko la siku nyingi,but very imformative.Kwa bandiko hili nimeamini kwamba kweli siasa ni mchezo mchafu.There is so much dirt behind the curtain that would make a sane mind insane,sina hamu.Duh.
 
Ni heri hilo kundi halikupata urais. Maisha ya dirt games ingeendelea huku wananchi tukiendelea kuteseka.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Haya ni mambo ya ndni sana wacha tuwachie wenye kuyajua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna members wa JF wameshatangulia "mbele ya haki" eti? Huyu hutaki acha yupo wapi siku hizi? Na yule HNIC
 
Hao waliondoka! Na mnyonge bado anataabika kuliko hata enzi hizo!
 
Hivi kuna members wa JF wameshatangulia "mbele ya haki" eti? Huyu hutaki acha yupo wapi siku hizi? Na yule HNIC
Hutaki Unaacha ni mtu wa system, alijiachia enzi za JK, sasa enzi hii ya JPM, kaamua kujinyamazia kutumia jina la Hutaki Unaacha, lakini yupo na mara moja moja, unaingia jf kwa jina jingine na kushusha nondo za jikoni.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…