Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
tamuuuu mkuu wa watumishi hahahahaha!!
 
Huu unaitwa unyambilisi kama kawaida ya wabobezi wa masuala nyeti.
 
Haya sasa ya Membe enzi hizooo
 
..................2020
 

Attachments

  • FB_IMG_1537551610420.jpg
    21.6 KB · Views: 49
Ha ha ha JF haya mambo huzunguka na kurudi.
Hivi unajua hata wewe onetime ushadhani Hutaki Unaacha ni Mzee Mwanakijiji?

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2) - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…