Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

History 2011
 
Ha ha ha JF haya mambo huzunguka na kurudi.
Hivi unajua hata wewe onetime ushadhani Hutaki Unaacha ni Mzee Mwanakijiji?

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2) - JamiiForums
Mkuu Jozi!, mimi ni mtu wa graphology, naweza kusoma flow ya mtu ukajua ni nani, hivyo bandiko la kwanza la HU alivyokuja na info from deep inside, nikadhani ni Mkuu MMKJJ, kufuatia zile secret dossier za MMKJJ ambazo one had to pay to read them, lakini kupitia graphology nikagundua HU sio MMKJJ.
P
 
Kumbe ndo tabia yako......kufatilia watu ili uwajue....kisha upeleke umbea kama ulivyofanya kwa kabendera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutaki Unaacha

Huyu jamaa Awamu ya Kuteka na Kula nyama za watu walishamla nyama au?
 
Nimerudia kumsoma HU na baadhi ya comments za huu uzi, kweli ogopa technology

Sent using Jamii Forums mobile app

Magu pia nae awe makini maana kuna watu kibao walikua die hard fans wa Membe kuelekea kinyang’anyiro cha uteuzi wa mgombea wa CCM 2015 ambao hata humu JF walikua wanajisema waziwazi na leo hii ni mawaziri wa serikali ya Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…