Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Sijui huyu jamaa alipotelea wapi!.
P
 
Huyu jamaa alikuwa TISS na aliuwawa kwa kutumbukizwa kisimani baada ya kujulikana anadisclose issue nyeti za nchi. Jina kapuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha ni yule jamaa wa Musoma mjini ,ambaye jina lake la Kwanza lilianzia na P na la mwisho lilianzia na T, ambaye alikuwa anaishi kigamboni.

Walimdumbukiza kwenye kisima Chao hapo , na wakasema alikuwa na ugonjwa wa akili au unamzumgumzia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@MziziMkavu naona kama maombi yako yamaejibiwa au kuna kingine wakitaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengine ukisoma/kufuatilia unajifunza ya kwamba Duniani tunaishi kwa makundi.

Kuna mambo ni maalumu kwa kundi fulani au jamii fulani...ni kama kuvuta bangi, unabaki kujiuliza Wenzako haya yote wanayaweza vipi?.

Wengine tutabaki tu huku kwenye keyboards za kompyuta zetu a.k.a bao bonye.
 
as usual ni wakati wa kufukua makaburi!
 
JF ilipokuwa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…