Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Bado una amini hilo?
 
Nimesoma bandiko hili la 2011 nimeshangaa!, japo Polepole ni muongo muongo kwenye baadhi ya maeneo, lakini anafanya kazi kubwa na nzuri ya kuwafungua macho Watanzania!.

Japo kwa sasa atajificha ficha, ila mwisho watamfikia na watamtanguliza, ila kwa wema anaowatendea Watanzania, na yeye atakuwa ni straight mbinguni, peponi kwa Baba yake na kujiunga na JPM, zamu yao itakapofika, kuna watu watafanywa ni kuni kule motoni!.

P
 
Asante kwa kulifahamu hilo mkuu Umekua sasa Hongera
 
Kumfikia kwa sasa haiwezekani
 
Hatari sana
 
Hapo kwenye uongo uongo wa HP sikubaliani na wewe.
Kwingine kote nakubaliana na wewe .
 
Hapo kwenye uongo uongo wa HP sikubaliani na wewe.
Kwingine kote nakubaliana na wewe .
Uongo Uongo namaanisha kuna vitu anavijua ukweli wake lakini anaamua kudanganya kwa sensational to create tension ijenge chuki na kufanya CCM ichukiwe Samia asichaguliwe.

Mfano mzuri ni kifo cha Magufuli, ukweli halisi wa JPM alianza kuugua lini, wapi na ni ugonjwa gani uliomuua, Polepole anaujua ukweli, hata wa alikufa lini, pia anajua na kilichomuua anajua, ameamua kusema uongo to sensationalize kuwa amefanywa kitu!. Hakuna chochote JPM amefanywa na yeyote kupelekea kifo chake, ila ni kweli baada ya kufa kuna wahuni wakataka kufanya jambo la kihuni, wahuni hao wakadhibitiwa na yule mjeshi! hivyo Mama akaingia, na kwa vile Mama anaingilika kirahisi, wakamwingia, wamemshika, sasa they are in full control!.

Uongo mwingine ni hii kauli yake ya hakuna uchaguzi, huo ni uongo, ukweli ni uchaguzi mkuu upo na utafanyika!. GE2025 - Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo! hivyo mliojiandikisha nendeni kapigeni kura Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige na msipopiga Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!

P
 
Twambie ukweli ukoje tuache kumwamini Polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…