Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

JF katika ubora wake, wako wapi hawa great thinkers. Jf ya leo matusi tu.
 
Yuko wapi Sitta, Mwakyembe Mr Ma PhD kaishia kupoa mzee wa watu
 
Magufuli was mentioned 😮
 
Nikajua utaungana na Polepole kushare ule ukweli ambao unaona unaujua ili asitupotoshe katika hayo machache! Kumbe ndiyo kwanza unaona watamchukua? Then Taifa litapata ukweli toka wapi?
 
Oh no even baba keagen was here 😱🚫
 
kiukweli uandishi umenishtua Sana mpaka nimeona waliokuwa wanadai vyeti walikuwa sahihi 😂😂😂
Kabisa... Yaani ni wa kiwango cha chini Sana... Kuna wakati Jenerali Ulimwengu aliwahi kusema kuwa mtu kabla hajawa kiongozi ahojiwe Kwanza kwenye maisha yake alishawahi kuandika nini?

Maana kwenye maandishi ndiko unakoweza kumsoma mtu wa ndani.
 
Kabisa... Yaani ni wa kiwango cha chini Sana... Kuna wakati Jenerali Ulimwengu aliwahi kusema kuwa kuna wakati mtu kabla hajawa kiongozi ahojiwe kwenye maisha yake alishwahi kuandika nini?

Maana kwenye maandishi ndiko unakoweza kumsoma mtu wa ndani.
Maandishi yenyewe ndo kama haya tunayoyaona, ukiangalia maandishi yalivyo unabaki unajiuliza hivi anaweza kutengeneza hoja ya kueleweka huyu,
And fun enough ni kwamba hakuna aliyekuwa anamjua kwa wakati huo no reply wala like kwa post hiyo
 
Maandishi yenyewe ndo kama haya tunayoyaona, ukiangalia maandishi yalivyo unabaki unajiuliza hivi anaweza kutengeneza hoja ya kueleweka huyu,
And fun enough ni kwamba hakuna aliyekuwa anamjua kwa wakati huo no reply wala like kwa post hiyo
😃😆😄

Ndiyo siku babalevo atakavyopewa uwaziri... Kigezo kikiwa ni jinsi gani unaweza kuwabagaza CHADEMA, basi kila mwana CCM anaweza kuwa kiongozi.
 
Membe ndo akikuwa huyu I think
 
Hii nchi inachezewa vibaya mno 😂
Tatizo vyuoni watu wetu wanafundishwa kuwa usomi wao unahusiana na kupata ajira na siyo kufumbua mbongo zao ili wawe watunduizi (critical thinkers).

Matokeo yake mtu ana shahada tatu lakini hajui chochote kuhusu maisha yake nje ya taaluma aliyosomea ambayo nayo anachojua ni kile tu alichofundishwa chuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…