Yusuph Bairu Jr
Senior Member
- Aug 29, 2025
- 150
- 322
100%Gen zege akili zap mbovu
Hata chademq ya zamani sio hii chakandumuz ya sativa na mdude
Huu uandishi tu unaashiria wewe ni miongoni mwa hao wanaoivuruga JF zama hizi.Gen zege akili zap mbovu
Hata chademq ya zamani sio hii chakandumuz ya sativa na mdude
😂😂😂 Ukisikia Job true true ndo hii sasa.Nilikuwa mahali mwanafunzi mmoja wa shahada ya uzamili (Masters degree) anatumia Chatgpt siyo imuongoze kuandika tasnifu (Dissertation) yake, bali alikuwa anaitumia kuandikia hiyo tasnifu yenyewe!!
Wala hiyo sio sababu. Nilikuwa member wa JF tangu 2010 kwa jina langu halisi na email yangu. Kufikia 2016 nililazimika kuviacha na kuanza kutumia ID hii ya kizalendo. Uhuru ule haupo tena.Tatizo ni generation tuliyo nayo
Tusisingizie mengine
Wewe unadhani ni nani anayestahili kuingia kwenye matatizo.Ni kweli Ila ukiingia katika matatizo atakayeumia ni wewe na familia yako
Hao wakongwe sio wajinga kuzitelekeza I'd zao na kuamua kuwa wasomaji wa habari.
Life is a mystery, broUtafikiri hamna kifo!
Baadhi yao hawapo....🤔
What is life?🤔
Internet haina siri na nyakati za kisiasa hubadilika .Wewe unadhani ni nani anayestahili kuingia kwenye matatizo.
Join 2008 mkuu, wakongwe hao, kwenye chadema hii ya sasa kwenye mitandao vijana waliopo front ninkweli kuna wengine wanazingua, hasa lugha mkuuHuu uandishi tu unaashiria wewe ni miongoni mwa hao wanaoivuruga JF zama hizi.
Umeandika Gen zege badala ya Gen z, chakandumuz badala ya CHADEMA huu ni aina ya uandishi unaowakilisha watu wasiojua dhima ya kuanzishwa kwa JF.
Hivi Pombe Magufuli hayumo kwenye hizi mbio za kuusaka urais au mbio zake ni kama zile za kumkimbiza mwizi kimyakimya!?
Ni kweli tunahitaji kuacha urithi kwa watoto wa watoto wetu, lakini isiwe ya laana na pia tuwe na amani mioyoni mwetu......Life is a mystery, bro
Watu wanajisahaulisha kuhusu Sheria za hovyo hovyo zilzotungwa kubinya uhuru wa kutoa maoni.Wala hiyo sio sababu. Nilikuwa member wa JF tangu 2010 kwa jina langu halisi na email yangu. Kufikia 2016 nililazimika kuviacha na kuanza kutumia ID hii ya kizalendo. Uhuru ule haupo tena.
Hao viongozi wote waliokuwa member hapa miaka hiyo bado wapo kwa ID za vificho. Hawako huru kueleza mawazo yao kama zamani.
Kuna tofauti kati ya CHADEMA, wanachadema, wafuasi wa CHADEMA na mashabiki wa CHADEMA. Ukiwaweka wote kwenye fungu moja unakosea.Join 2008 mkuu, wakongwe hao, kwenye chadema hii ya sasa kwenye mitandao vijana waliopo front ninkweli kuna wengine wanazingua, hasa lugha mkuu
Ni kweli japo kuna muda ni ngumu kuwatenganisha , TAL arudi uraiani kuna mambo atayanyoosha zaidiKuna tofauti kati ya CHADEMA, wanachadema, wafuasi wa CHADEMA na mashabiki wa CHADEMA. Ukiwaweka wote kwenye fungu moja unakosea.
Jee ataachwa awe huru?Ni kweli japo kuna muda ni ngumu kuwatenganisha , TAL arudi uraiani kuna mambo atayanyoosha zaidi
Tunakisia baada ya uchaguzi atarudi, wahuni ndo wanacontrol mambo yenyewe hayaJee ataachwa awe huru?
Nyerere mwenyewe nilisikia!Nikajua utaungana na Polepole kushare ule ukweli ambao unaona unaujua ili asitupotoshe katika hayo machache! Kumbe ndiyo kwanza unaona watamchukua? Then Taifa litapata ukweli toka wapi?