aisee.............
That is why we love JF!!! I must admit kwamba i couldnt agree more with Slider on EL, his a goner and past is always a past
But on Membe!!!!??? i will never agree with you, you need to separate two things uadilifu and a leader. Member could muadilifu, but he is never a leader IMO
Where is my pack of embassy light
Ushauri wangu kwa Membe:
Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi.Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person
The difference between Lowasa & Membe ni kuwa tofauti zao ni sawa na Usiku na Mchana. And the is that Lowasa hasn't got a 'story' which comes anywhere close not only to JK lakini to Membe.
Just like JK, Mheshimiwa Membe is the son of of an ordinary MKULIMA, who rose from poverty to become one of our best foreign ministers. He has a proud record of political integrity and has never been afraid to put the interests of this country first.
wakati mwingine unaweza kuamini kabisa kuwa TZ imefikia kama Sicily Italia enzi hizo... rejea masimulizi ya Mario Puzzo
wakati mwingine unaweza kuamini kabisa kuwa TZ imefikia kama Sicily Italia enzi hizo... rejea masimulizi ya Mario Puzzo
Mwenyezi Mungu ndio anapanga kila kitu, wote tutakufa hata kama Mwandosya na Mwakyembe wako njiani. Mungu anajua nani atatungulia, si ajabu kifo cha wabaya wao kitakua kibaya zaidi.Itafika siku hao wote watang'olewa na Haki. Haki ni kwa wote wache wale tu lakini ikifika siku watapumzika huko kula, kwao kutakwisha na Wanyonge watapata kupumua eeeh Mwenyeezi Mungu inusuru Nchi yetu na utupatie viongozi wanaoipenda Nchi yao pamoja na Sisi walala hoi amina.
Hiki kilichokufanya ubadili mawazo yako kuhusu Bernard Membe ningependa kweli kukijua. I'm impressed.