johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yupo jimboni Mtama!Mzee wa niguse ninuke 😁😁😁 ! Salaaale ! Sijui kajichimbia wapi !
Tofautisha uchaguzi na uchafuzi. Ule ni uchafuziKumbe hakukuwa na uchaguzi?
Yule ni yeye wenu alikuwa anafanya nini sasa?
Membe?Mlitaka kumtoa uhai wake. Shame on you
Inaonekana ni mtu mzima lakini huna akili hata kidogo.Membe?
Kwa hiyo mbelgiji nae kashiriki uchafuziTofautisha UCHAGUZI NA UCHAFUZI....ule NI UCHAFUZI
Kama ulienda kupiga kura wakati unajua ni uchafuzi basi utakuwa na akili inayopitia kwa nyuma, sio bure.Tofautisha UCHAGUZI NA UCHAFUZI....ule NI UCHAFUZI
Hahahaaaa Umeshapanic!Inaonekana ni mtu mzima lakini huna akili hata kidogo
Ufipa ndio kuna banda la rip Makani mnalotumia kama ofisi za makao makuu!Mpuuzi mkubwa wewe, simenti unauziwa elf 23 kama sisi wengine, unashangilia ujinga sijui kwa vile umeshajikatia tamaa huna mpango wa kujenga hata kibanda.
Mpuuzi mkubwa wewe, upinzani umekufa kama lengo lenu mbona hamshangilii mnalazimisha CHADEMA wapeleke wabunge?Ufipa ndio kuna banda la rip Makani mnalotumia kama ofisi za makao makuu!
Mnalialia tu hata cement ikiuzwa 5000 hamuwezi kujenga ofisi.
Maendeleo hayana vyama manka!
Mbowe ndio analazimisha akina Halima Mdee waende bungeni lakini Tundu Lissu na Mnyika wanawazuia.Mpuuzi mkubwa wewe, upinzani umekufa kama lengo lenu mbona hamshangilii mnalazimisha Chadema wapeleke wabunge?
Toa ushirikiano!Tunamtaka Magufuli, aifanye Tanzania kuwa ka HURAYA, Alusha iwe kama Karefoniya
Hata Trump analialia na wizi!Imeandikwa siku za mwizi ni arobaini hivyo ccm karibu mtabambwa mnazidisha wizi wa kishamba pickpocket uliopitwa na wakati