Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Kama kweli Magufuli amefanya mambo mengi na mazuri mno kama tunavyoaminishwa na Vijana wa Lumumba basi hii ndiyo fursa kwake kujipima kupitia Membe, aruhusu demokrasia ndani ya chama chake ili ushindi wake wa kishindo unogeshwe na ndugu Membe na usiwe na mawaa yeyote.
 
CCM kama chama cha siasa hakipo acha kujidanganya, kilichopo ni kikundi fulani chenye maslahi binafsi kutoka tiss, jwtz na police na idara zingine za serikali wanaotumia jina la ccm na ndio maana viongozi wa ccm karibia wote ni tiss na jwtz, wachache sana ni raia wa kawaida.
 
Bashiru katoa fomu kwa Jpm akafunga na ofisi wengine watazipataje ?kaenda na Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…