Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,012
Mbwekaji wa taifa, naona CCM ina jembe jipya kwa sasa linaitwa Musiba.Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Juzi ulipoteza pambano vibaya sana....Morphine ndiyo kitu gani?
Basi unaona umemaliza!!?muwe mnafanya utafitikwanza bila kulopoka tu. et trason ni kwa rais wa nchi tu...
treason
[ˈtrēzən]
NOUN
high treason (noun) · high treasons (plural noun) · treasons (plural noun) · petty treason (noun) · petty treasons (plural noun)
- the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill the sovereign or overthrow the government.
"they were convicted of treason"
synonyms:
treachery · lese-majesty · disloyalty · betrayal · faithlessness · perfidy · perfidiousness · duplicity · infidelity · sedition · subversion · mutiny · rebellion · high treason · Punic faith
antonyms:
allegiance · loyalty
- the action of betraying someone or something.
"doubt is the ultimate treason against faith"
synonyms:
treachery · lese-majesty · disloyalty · betrayal · faithlessness · perfidy · perfidiousness · duplicity · infidelity · sedition · subversion · mutiny · rebellion · high treason · Punic faith
antonyms:
allegiance · loyalty- historical
the crime of murdering someone to whom the murderer owed allegiance, such as a master or husband.
Vipi umepima asilimia za upendo wa Watz kwa boss wako katika siku hizo tatu!!!?Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Uzishi wa kuzushiwa kufa wewe unaona ni uzushi mdogo.?? Pevuka basi asee .Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Waziri alimkanya Musiba, lakini Musiba ameendelea kuisemea serikali na hachukuliwi hatua, maaskofu waliiuliza serikali ikiwa haimzuii Musiba na wengi wanaamini serikali inamtuma, kwanini serikali isijitenge naye na asiruhusiwe kuisemea serikali, na imchukulie hatua.
Waziri alimuonya hadharani na alisema akirudia vyombo vya dola vita mshughulikia.
Tunaona tena kafanya yale yale, sasa tusemeje?! Uhakika upi ungekufaa wewe?!
Naona unasadiki na kuunga unga tu.
Kwa hiyo wasilalamike walitaka uvumi wamepata uvumi,kelele za nini?Sawa.
Huo ni mtazamo wako.
Kwa bahati mbaya, mtazamo wako haukuwa mtazamo wao, pia.
Mbona hawajaridhika wanatafuta maneno na kuwaingiza wengine kwenye upuuzi huo?The state house couldn’t have appositely handled it any better than they did!
They get a 10/10 from me.
Vipi umepima asilimia za upendo wa Watz kwa boss wako katika siku hizo tatu!!!?
Kwanini hajapelekwa mahakamani? au na yeye keshaandika barua kwenda kwa DPP?Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Acha kubweka bweka weyeMembe haya anaytaka mwenyewe sio siri ,sijui anawashwa nini
Kumtetea mgonjwa hakuondoi ugonjwa wake. Toka jumapili mpaka leo hajaonekana fonti fedi ujue bado hajapona vizuri, muda ni mwalimu mzuri sana black and white zitajulikana tu. Kwanza kuugua siyo dhambi au huyo Jiwe wenu huwa haugui?Kwahiyo mnataka kutuaminisha malaika mkuu Jiwe huwa haugui siyo?Kelele za majuha wa Twitter hazinisumbui kabisa.
And here's the first Puppy...Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Alichokitarajia Membe kimefeli,utajibuje mambo ya kijinga,unamjibu nani,kwa mara nyingine mtego wake Membe umembwekea mwenyewe na mbilikimo wake.Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Alichokitarajia Membe kimefeli,utajibuje mambo ya kijinga,unamjibu nani,kwa mara nyingine mtego wake Membe umembwekea mwenyewe na mbilikimo wake.
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Wewe ni bogus kweli unafikiri ki-academically sana umekwenda ukabeba general definition ya treason. Mimi naongelea definition according to our Penal Code wewe vuvuzela!!