Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Kwani yeye amesema hawezi kutumia simu kwa sababu inadukuliwa?
 
Unateseka sana wakati ww mwenyewe ni Immunodificiency
 
Hahahaaa! Walimpa wao kichaa rungu. Sasa naona hawana mbinu madhubuti ya kumdhibiti kichaa zaidi ya kutumia mbinu ileile tunayoitumia Watanzania wengi ya kulialia tu kupitia keyboard. Bongo "raha sana".
 
Lakini wanakosea upande, mmoja ambao wanachia wabwekaji kitaifa , kuendelea kuwaacha... Kama Membe, angeamua kukaa kimya dhidi ya shutuma, naye angekuwa sawa na serikali walioamua kukaa kimya na kuaacha damage iendelee..
 
Hii sio ndio terrorism yenyewe, ama?

Au ndio vigillantes?

Si uasi unaanza hivi?
 
Nasikia musiba anataka kugombea ubunge,wana hasara watakaomchagua huyo tink tank
 
Mbwa ukimjua jina ni raha sana ! Yaani Mchange anajipigia tu kibwege hela za awamu ya 5 , hela inatafunwa kirahisi sana kwa mambo ya kutungwa tu !
 
Exposure kakaa sana nje,pia kwa kazi ya ujasusi ni lzm uwe forward huwezi kuwa primitive.
Sasa na u-forward wake+ujasusi wake ikawaje mtu aliyetoka huko Chato wala hata huko nje haendagi akamshinda/akapeperusha bendera ya chama kwny urais?
 
Mchange na Zitto wamekula sana hela ya Nssf awamu ya 4!
ile si mlisema ilikuwa awamu ya kutumbua , ajabu ni hii awamu ambayo inaitwa iko makini , lakini mbona watu duni kama huyu Mchange na Musiba wanajipigia tu hela za umma ?
 
Sasa na u-forward wake+ujasusi wake ikawaje mtu aliyetoka huko Chato wala hata huko nje haendagi akamshinda/akapeperusha bendera ya chama kwny urais?
IPO tofauti ya kujisukumiza na kusukumizwa elewa tofauti kwanza
 
Mlitarajia serikali itaanza kuhangaika na upumbavu wenu kwa namna mlivyopanga.
 
ile si mlisema ilikuwa awamu ya kutumbua , ajabu ni hii awamu ambayo inaitwa iko makini , lakini mbona watu duni kama huyu Mchange na Musiba wanajipigia tu hela za umma ?
Mchange anatembelea bodaboda.......ndio anapiga hela huyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…