Membe ulikosea sana kutangaza nia ya kugombea Urais mapema

Membe ulikosea sana kutangaza nia ya kugombea Urais mapema

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Mheshimiwa Membe nashindwa kuamini kuwa wewe ni mwanaintelejensia makini.

Intelligence maana yake ni uwezo wa kuona mbali zaidi ya wengine that's why hata hapa Tanzania ndege anayeona mbali hufanywa kama alama ya intelligency.

Ulipaswa ukae kimya miaka yote mpaka wiki ya kuchukua fomu.

Tena na juhudi ungeunga kabisa, ungetokea mshangao siku moja from no where unakwenda kuchukua fomu.

Kwa hakika ungewapiga chenga wapinzani na wanaCCM pia.

Basi tena, Urais unakupita hapa mjomba.
You can rule but you haven't techniques to rule
 
Kwani licha ya yeye kutochukua fomu ni nani mwana CCM mwingine zaidi ya mzee baba ambae ashachukua fomu?
 
UMEANDIKA KITU AMBACHO KINAPASWA KUPUUZWA KWA KWELI! NI MSHANGAO 🤩🤩
 
Calendar ya Membe ni June hadi October.
Kwa hiyo hajachelewa.
 
Kwa kukusaidia tu labda nikuambie hakuna Watu ambao hawana Vifua vya Kutunza Siri zao na Wanapenda Kukurupuka kama wa Mtwara / Lindi.
 
Membe Ni hamna kitu hata hiyo intellijensia yake Ni nonsense,, Ni mtu wa kuropoka, kukurupuka na kuweweseka Sana. Hakuiga hata kwa Magufuli 2015 watu tumekuja kufaham Magufuli kachukua fomu ya kugombea urais mwishon kabisa na ilimusaidia akapita.

Membe mwana intellijensia gani anadukuliwa?
 
Back
Top Bottom