Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Angeniomba ushauri mapema ningempa hiyo technique.Wewe ndio mshauri wake?
Angeniomba ushauri mapema ningempa hiyo technique.
Wajumbe wa NEC na Wajumbe wa mkutano mkuu wangempa more than 60% ya kura zote kama angeingia ulingoni
Kwisha habari zakeAtafute njia mbadala
Membe anatia hurumaMembe anaenda ACT ccm ni tindikali kwake ataungua ngozi!!
Wewe ndio mshauri wake?
Kwa kukusaidia tu labda nikuambie hakuna Watu ambao hawana Vifua vya Kutunza Siri zao na Wanapenda Kukurupuka kama wa Mtwara / Lindi.
Kwani Magufuli anatokea Mtwara/Lindi?
Niliyemuongelea hapo ni Membe au Magufuli? Pumbavu!