You may not love me like I love you,You may not care for me like I care for you But if you ever need me, I will always be around for you.Thats my girl!
Ipo siku utanielewa tu...Rrondo nimecheka kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikubalia sasa ombi langu?
Ila mambo zako na za rrondo mpo sawa yaan atapata kiboko yake anakuzimiaje simu sasa usiogope mambo za jf ingekuwa hivyo mbona tungeshazimiwa simu na wengi humu na sura zetu za baba na umbo la sanamu la michellinMie mbaya atanikimbia huyu japo namtaka ila naogopa kuzimiwa simu. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
You are irresistible....Umenikubalia sasa ombi langu?
Ahahah ungejua shunie mwenyewe ni mmama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye watoto na wajukuuIpo siku utanielewa tu...
Umetisha.Kuanzia sa 12-4 asubuhi Miss Natafuta
Kuanzia 5-10 jioni Inna
Kuanzia sa 11-4 usiku masai dada
Kuanzia sa 5-majogoo MBITIYAZA
Hapo ntaenjoy sana!
Kweli kama kiben10 usijisumbueHahah!! eti ki-ben10
Tupo sawa kivipi? Hebu fafanua my sunshine....Ila mambo zako na za rrondo mpo sawa yaan atapata kiboko yake anakuzimiaje simu sasa usiogope mambo za jf ingekuwa hivyo mbona tungeshazimiwa simu na wengi humu na sura zetu za baba na umbo la sanamu la michellin
Hata mimi ni babu na wajukuu....mapenzi hayana umriAhahah ungejua shunie mwenyewe ni mmama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye watoto na wajukuu
Kuna vitu flan mpo sawa kuhusu stareheTupo sawa kivipi? Hebu fafanua my sunshine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi ni babu na wajukuu....mapenzi hayana umri
Jana nilikuwa sehemu, alikuja mtoto ana chura huyoooooo mpaka nikakukumbuka BehaviouristHivi humu JF ni Manzi gani ana chura?
Mimi apaHivi humu JF ni Manzi gani ana chura?
Behaviourist amenifanya kila nikiona chura namfikiria yeyeJana nilikuwa sehemu, alikuja mtoto ana chura huyoooooo mpaka nikakukumbuka Behaviourist