Hiihii nasubiri atoke na suti zake mimi niingie na gwanda zanguUpo kona gan
Miss natafutaKama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Hapana, hapa beach kn mrembo acha nimpe ofa ,huwezi jua usikute ndio Wangu huyuNdioooo
Haaa haaa!Nasubir kutajwa
Napita Kwa kukodoa macho kodoooo
Mwanaume hapangwi ila anapangaMbona wewe umetupanga sijaona wivu. Mimi Max tu jamani unataka kunitoa kwenye ratiba.
[emoji13] utakua under 18 eti? Maana kwao ndo matusiKuna mdada mmoja humu natamani sana kufanya nae matusi
Maombi ya?Basi wacha nitume maombi kwa @Aspirin
Pamoja sana chiefMtoto kaja na kaelewa kipindi chief asante kwa backup la nguvu, hakika nguvu ya uma umeonekana
Hahahaa. Sheikh atatafutwa sana na wadada wa mjini wenye chura maana wanauhakika wa danga lenye helaSafi,maana kn sheikh
Chura muachieni sheikh
Eeeeh. Si wengine wanaringa.Heheh!! Naona unamuhitaji mkuu kabisa?
50/50 mkuu.Mwanaume hapangwi ila anapanga
Hiyo ni ya mdomoni hua haifanyi kazi50/50 mkuu.
Umeniweza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hiyo ni ya mdomoni hua haifanyi kazi
Kwa mfano ukipigwa mimba lazima utachagua mmoja umpe lakini kidume akipiga mimba kote zitakua zake