Yupi wakunyumba? [emoji2]Kwani yule dada ndio mkewe
Nimesoma mwambie awe na mahela tu halaf asiwe kiben10Umesoma uzi?
Na umejiridhisha nao?
Kwanini unihisi mimi?Mimi nlikua na kuhisi wewe apo
Si umtaje sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesoma mwambie awe na mahela tu halaf asiwe kiben10
Pole mkuu, mi mwenyewe kuna mmoja namtaka sana, tatizo ananataaaaa, ila nampenda hivyo hivyo na minato yake.Alishajua nampenda basi ananiringiaa
Una ubaya gani au ndio unatishia watuMie mbaya hatuwezani
Lakini naomba umri usiwe kama janjaro jamannikupeleke ngalimitedii,
eeh oh mama,
tukapande kilimanjaro,
eeh oh mama
your better one,
you are my number one,
~JANJARO BANA AU SIO~
Aisee wewe ni hodari mpaka usser umebadili?Ndio mimi mumy nimeamua kuchange username mana lile halikua romantic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nimeharibu halaf rrondo hii sio mara moja kumsikia anapenda flatscreen wakunyumbaHatanikubali ukisema hivyo wakunyumba.
Wewe ni mwanamke ???Duh mjomba wako atanipa talaka sasa hivi kabla ya siku! cc: mshana jr.
Ahahahh huyo huyo uliyemtaja mweusi hiviYupi wakunyumba? [emoji2]
Vile nakupenda sanaaa wivu tu ndo ukanifikisha hukoKwanini unihisi mimi?
KheeeeNdio mimi mumy nimeamua kuchange username mana lile halikua romantic
Hivi mama mchungaji ni wewe auPole mkuu, mi mwenyewe kuna mmoja namtaka sana, tatizo ananataaaaa, ila nampenda hivyo hivyo na minato yake.
Eeeeh mrefu hivii ana dread. Tutakula ban ya maisha [emoji2][emoji2]Ahahahh huyo huyo uliyemtaja mweusi hivi