Ukute na mimi ndo ananijuaga yule yule anaemuona kule uwiiiii ntapata aibuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitamfata Max kwa magoti kumuomba msamaha na kila siku namuona haujui kama shunie
hahaaaUmeamua kuendeleza mawazo ya kitoto?
wakili nawe kumbe umoo?Kama utakuwa Dar tutafutane
Hayo ndio maneno sasa..Sawa ntapima alafu nilinganishe na wako tukiendana valentine itatuhusu
Siku hiyo tushinde tu juu ya mti..Tunakula matunda na mastori kibao..Umekuja ee....nilisema atakaewah ndo huyo huyo kwaiyo tupange sasa bby tutoke wap
Mzigua90 usipite apa mana ulivo na tamaa
Nyani ngabu yupo hapa manzeseNingependa nitoke na Nyani Ngabu sema yuko mbali, Saint Ivuga kaniambia hataki kutoka na mimi sababu nikipendeza wataniiba mafisi.
RRONDO Naomba Tutoke wote.
Mxieee sikupendi tena ngoja ntafute tu mwingine wa kutoka naeSiku hiyo tushinde tu juu ya mti..Tunakula matunda na mastori kibao..
Pls pls nakupigia magoti babe.Na ile picha ya kibamia chako uliyonitumia watsap naileta huku
Mbona unanizeesha bana..Naona umeanza kusheherekea Valentine mapema..Avatar yako inavutia na kushawishiShikamoo K
Koma kabisa. Wanakufanya we kimaMxieee sikupendi tena ngoja ntafute tu mwingine wa kutoka nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zanguUkute na mimi ndo ananijuaga yule yule anaemuona kule uwiiiii ntapata aibuu.
Teh teh..Tatizo umekaririMxieee sikupendi tena ngoja ntafute tu mwingine wa kutoka nae
Jaman hii avatar ndio unaiona leo nimekuhamu tu mimiMbona unanizeesha bana..Naona umeanza kusheherekea Valentine mapema..Avatar yako inavutia na kushawishi
Nipo hapa weweMxieee sikupendi tena ngoja ntafute tu mwingine wa kutoka nae
Hapana we huaminiki, na iyo ID mpya.Atakayekosa kampani Niko tayari
Anayetaka kuonana na mimi sasa hivi anayoshe mkono nimpe utaratibu mzimaKama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Kumbe ya muda..Basi mi mgeni..Na we uwa unasheherekea Valentine?Jaman hii avatar ndio unaiona leo nimekuhamu tu mimi