Apo umefurahiiiiiiiiiKoma kabisa. Wanakufanya we kima
Old idHapana we huaminiki, na iyo ID mpya.
Id yako nyingine inaitwaje?
Naileta huna adabu..pumbavuuuuuuPls pls nakupigia magoti babe.
Nitakupeleka kfc
Mimi natamani nikutane na NAHUJAhahahaahhahhhahahh, mie naomba niwe kweli nitoke na Maxence Melo (JF founder)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh mjomba wako atanipa talaka sasa hivi kabla ya siku! cc: mshana jr.
Namshangaaa si bora nirud kwa ivuga na ubahili wakeHahah jamaa anataka mshinde juu ya mti kama ngedele
Ulijiitaje?Old id
Mi mhuni?We unakubal kufundishwa uhuni?
Njoo bwana ivuga atakusababishia presure bureMxieee sikupendi tena ngoja ntafute tu mwingine wa kutoka nae
Naomba unitumie SangaraAhsante sana Wakili Msomi Petro E. Mselewa
Mshipa be my valentine...plzzzNjoo bwana ivuga atakusababishia presure bure
Me nmekutaja uwe my valentine naona unashangaa shangaa sijui unataka uwe na nani tenaAnayetaka kuonana na mimi sasa hivi anayoshe mkono nimpe utaratibu mzima
Nashukuru sana, umepita bila kupingwaMshipa be my valentine...plzzz
Mkuu, chukua LIKE yako. Jf kumekuwa na ongezeko la mawazo mgando sana siku hizi.Haina maana Ku assume,!!
Tuwe tuna leta topic za kujenga sio haya mawazo ya kitoto!
MfyuuuMbona unanizeesha bana..Naona umeanza kusheherekea Valentine mapema..Avatar yako inavutia na kushawishi