Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Me nmekutaja uwe my valentine naona unashangaa shangaa sijui unataka uwe na nani tena
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yalaaaaaa nimelikoroga hapa.
Sikujua kama upo hapa mimi nikakimbilia kutangaza dau, ningejua nisingetaza maana wewe na mimi kale kazee lazima kapate shock[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, chukua LIKE yako. Jf kumekuwa na ongezeko la mawazo mgando sana siku hizi.
Mwenzio unampa like wakati tuponae humu tokea asubuhi tunajitwalia tu werembo, ww kama unataka mawazo myayuko nenda Great thinkers huku umepotea njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…