Tukutane Bugando Parish.Hapana wakili, nitakuwa Mwanza kwa ajili ya kuanza rasmi mfungo wa kwaresma siku hyo itakuwa ndio Jumatano ya majivu
Mkuu Kumbe na wewe unamtafuta?
Atakudedisha.
Rais John Joseph Pombe MagufuliKama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Waoooooh so lovely.........nipo dar hii hiiupo wap nataka kukupeleka hyatt valentine hii..
Twende tu kwa kweli......am ready