twenzetu visiwa vya morrocco huko antananalivoAisee hii offer sio ya kuikataa kabisa.....kila mtu anaitamani
Watu wanataka vyura wa Kihansi [emoji1] [emoji1]Nenda kwenye ma pond au mabondeni wamejaaa, [emoji12][emoji12] natoka usije nichapa bureee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my LG-D959 using JamiiForums mobile app
Tukumbushenaitwa nani vilee
mtandao unasumbua,,,Watu wanataka vyura wa Kihansi [emoji1] [emoji1]
Tukumbushe
Mzigua90 njoo tuanze safariUmetisha ila kuna nyingine hapa naiona [emoji116] [emoji116]
Ngoja anakuja
nafkiri ni kwakua bado hauja tulia una cheza chezaKule kwenye kupeana misaada hausumbui? [emoji12] [emoji12]
Unaenda wapi njoo hapa
Mimi nimekuwahi wewe.Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Aiseeee sasa jamani mbona nachanganyikiwa tena......sijui nichague wapitwenzetu visiwa vya morrocco huko antananalivo
Yani ni balaa mpaka sijielewi sasaUmetisha ila kuna nyingine hapa naiona [emoji116] [emoji116]
Ngoja anakuja
Aiseee huko anapoenda atapotea sasaSawa mkuu
Muache aende [emoji1] [emoji1]
Sawa mkuu
,