Amen..... at least nimepata blessingsNashukuru kwa kujitolea love......be blessed
Yah😉Amen..... at least nimepata blessings
Hahaaaaaaa jamani sawa nimekuelewatwende visiwani mtoto achana na wababaishaji
all because of u Curious galHahaaaaaaa jamani sawa nimekuelewa
Hahahaaaa. Nimekumbuka zile fujo za kule duuh.Pole sana na mizunguko ya humu ndani ila ilimradi umefika mm nafurahi kukuona rafiki
Hahahaaaaa. Nimejikuta nakumbuka tu.Hahah!! Wewe bado tu akili ipo kule kwingine?
Acha zako ww tamba tu humu au kuna nn unahofia?
Hahaaaaa. Haya bana.Lazima ukumbuke mana ww sindio mwenye fujo zako bhn [emoji12] [emoji12]
Poa poa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sijui ata nikuambie nn tu ila poa mwaya....
Umewaza deep sana mkuu ila lengo halikua hilo na wachangiaji ote wameenda sawaKamahujui unatengeneza THREAD YA LESBIAN NA GAYS
HAPA WANAUME WWNGINE WANAMAJINA YA KIKE ..UNAPOOMBA KUWA NA MAMAMIA AMA SWEETBABY
NAWAZA UNANIA GANI