Member Mpya Hapa, Shabiki wa Arsenal

J O

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
36
Reaction score
21
Habari Zenu wakuu..

Me ni member mpya humu jf sina muda sana na ni shabiki mkubwa wa arsenal football club.. naitwa Joel Chuku...

Kwa watumiaji wa facebook watakua wananifahamu kwakua nipo kwenye magroup mbali mbali ya huko..

Natumaini mtanipokea tuongelee michezo ili sote tuburudike . asanteni sana..
 
We c mgeni sema una ID mpya
 
Wakati Asernal anapigwa nane na Man U matawi ya juu ulikuwa wapi?..,Karibu kijana.
 

unajaza seva!' kuna uzi wamafailure wenzio ungeingia ukajitambulishe huko.
 
Mara ya mwisho kusherekea epl itakua 2016 may
 


hivi Arsenal wana champions league ngapi?
 
Madrid wanahudhunika kuondoka kwa legend _Iker.

Liverpool_Stevie
Man u_RVP.
Chelsea_Peter mahelment.
Barca_Xavi

Arsenal_Lord Abou Diaby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…