Member mpya wa Jamii Forums

Member mpya wa Jamii Forums

mgombele jr

Member
Joined
May 4, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Nashukuru nimepata nafasi hii adhimu kuwa mmoja kati ya member ya watu wanaofikiri kama kama hakuna box vile na sio out of the box.Salute kwa wadau wote ambao bado wanafanya page hii kuwa so best alwayz,nami kwa kuwa ni mmoja kati ya wana mageuzi wa fikra mgando nafurahi kuwa humu ndani hili tuweze ku-brain storm together.Nipo hapa South Africa kimipango.Aksanten
 
Wewe huko southafrica hujauliwa bado
 
We sio member mpya sema id yako ndio mpya.
 
Nimesalimika kabisa na ndio maana nimependa kuweka harakat pamoja nanyi
 
Jf inafika mpaka sauzi?
Noma sana

Lete mpya ya huko hao manyangau wameacha fujo?

Tanzania nchi ya amani lakini mwaka huu lazima tuzichape
 
Back
Top Bottom