Member mpya wa kudumu nikaribisheni


Sioni avatar unayotumia ila huyu kaka uliyomuweka hapo mwisho nampenda ila so kimahaba japo ni mdogo kwangu.

Mie ni mbishi sana kusadiki kitu, naomba uniambie kwa miaka hiyo 3, Kasie umemuonaje? Ukiambiwa umuelezee unamuelezeaje?

Kisha ndo nikukaribishe
 
Mbona Unajitetea Sana Kuwa Ulikuwa Guest?...
 
Na siku akijisahau atajikuta ameandika na
mwandiko wake wa siku zote.

Ngoja pakuche vizuri.
Madame unazingua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakupata vyema sana madame,sifa yako kubwa unapenda sana kwichikwichi[emoji182] [emoji182] [emoji182]
 
Taja namba yako ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN NUMBER) tuangalie kwenye system kama uko clean
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
karibu dogo ila usisahau shule maana JF kama sigara na pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…