Member mpya

Ibra Bituro

Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
9
Reaction score
2
Naombeni mnipokee na nahitaji ushrikiano wenu wa kimawazo..Asanten ndugu zangu
 
Halafu mm bado sijakujua mkuu hebu niambie vizur JINA lako huenda nikakujua..
 
Alishaondoka Dom yuko Zanzibar tena bila shaka Michenzani..ulisomq nae Nyuki TPDF High school nini? Naona kafotoa mapicha viwanja vya maisara..IBRA bana!
Huyu dogo namfahamu sana mkuu..... maana enzi hizo akiwa darasa la 2, mimi nilikua karibu sana na mama yake mdogo...[emoji13] [emoji13]
 
Huyu dogo namfahamu sana mkuu..... maana enzi hizo akiwa darasa la 2, mimi nilikua karibu sana na mama yake mdogo...[emoji13] [emoji13]
Hahah kwahiyo hapa MNA kikao cha wanafamilia sio..huyu dogo Wa 95.. najaribu kuwaza alipokua darasa la pili wewe ulishaanza ubazazi..af Leo unamkaribisha "mwanao" jukwaani..kwikwi
 
Hahah kwahiyo hapa MNA kikao cha wanafamilia sio..huyu dogo Wa 95.. najaribu kuwaza alipokua darasa la pili wewe ulishaanza ubazazi..af Leo unamkaribisha "mwanao" jukwaani..kwikwi
Ndio hivyo mkuu....
Nakumbuka nilikwahi kumuita "mkuu" member flani humu, siku alipokuja kuazima sim yangu atumie ndipo kumbe nikaja kugundua ni mtoto wangu wa kiume
 
Ndio hivyo mkuu....
Nakumbuka nilikwahi kumuita "mkuu" member flani humu, siku alipokuja kuazima sim yangu atumie ndipo kumbe nikaja kugundua ni mtoto wangu wa kiume
Hahah..Mimi niliwahi kumjibu hovyo bi mkubwa bila kujua..karudi home ktk story story baada ya dinner akasema leo kuna MTU kaniudhi blah blah JF..nikauchuna kimyaaa...akautaja na Uzi! dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…