Sultankundi
Member
- May 10, 2023
- 26
- 37
Habari wana JF,
Member mpya nipo Uturuki kwa wale watakao kuwa na shida ya kuniagiza bidhaa karibuni pia tuunganishane me ni mwanafunzi huku na pia mtafutaji kwa wale wanaotaka kusoma na kuuliza kuhusu scholarship tafadhali me ni kijana wenu.
Natanguliza Shukrani
Karibu JFHabari wana JF,

Shukrani sana brother wazo zuri sana ngoja nlifanyie kazi haraka iwezekanavyo.Nakushauri anzisha uzi jukwaa la biashara...
Jitahadi uambatanishe na picha haswa za masoko na bidhaa, ikiwezekana na bei...
Pia utaratibu wa namna wa mtu kukupata n.k
Huku ulipoweka uzi wako hakuna wasomaji wengine...
Kila la kheri