Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Nakosheka na wengi humu ila kwa uchache wao @Heave on sent na lara 1 nawapenda hawa wadada

Kwa wanaume ni mshana jr na mada zake hua nazielewa kiurahisi zaidi mwingine ni Kiranga huyu jamaa bana napenda comment zake hasa akianza arguments zake zile
 
Nakoaheka na wengi humu ila kwa uchache wao @Heave on sent na lara 1 nawapenda hawa wadada

Kwa wanaume ni mshana jr na mada zake hua nazielewa kiurahisi zaidi mwingine ni Kiranga huyu jamaa bana napenda comment zake hasa akianza arguments zake zile
Wow hujui tu nilivyofurahi huku... Thanks a lot mpenzi, and I love you too even more[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Deception
Chief Mkwawa
Aman makirita
Mseza Mkulu
Mshana Jr
.................
.................
.................
.................

Na wengine wote wenye kutoa mada nzuri ambazo ni chakula kizuri cha akili na zenye msaada katika maisha(kwa bahati mbaya tunao wachache).
 
malaria sugu na Gurudumu wapepotea sana
 
@Rutashobolwa

Ndege wanaofanana wanaruka pamoja bila shaka huyu rutashobolwa atakuwa anashare a lot of things in common na bibi mtata.

Yaani hadi bibi kamkubali basi muhaya katisha na hakwenda shule kusomea ujinga. Teh teh teh!
 
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
cacico cacico cacico
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…