Tuma pesa basi ya kununuliaHahahaha kabisaaa naomba unitumie samaki
PoleeeeMm na mavingereza wapi na wapi umeniacha
Mi huwa nafanya kwa vitendo mtu akiingia kwenye anga zangu...hahahah, umelishwa vya kisambaa. hahahahahahahahaahhhahaha😀😀😀😀😀
Hata kama ni wewe?ununiwe na nan sasa??? We taja tu
Karibu kwenye mgao wa kikobaaaKuna mchokozi kaniita nije nifanye maombi. Sikujua Ibilisi wa hapa ana nguvu namna hii...
View attachment 868870
Mimi ni shemej yako. huwezi kunitaja. Demiss alikataa. Au sikuelewa.Hata kama ni wewe?
Basi mwambie apunguze kiherehere...Hapana.... sijaona mtu anabisha... hawezi kuwepo