Bibi yuko wapi lakini [emoji847][emoji847]Hupendi babu yako nijisikie raha kumoyo?
Mimi huwa natajwa kwenye watu wenye majina mabaya tu huku kupendwa kuna wenye nako ndio maana unaona wanatajanaUmetajwaaaa
Mtaarifu tafadhaliNgj nimwambie kabisa sjui yuko busy na wagonjwaaa
Si ndiyo maana niliogopa kutajaMimi ni shemej yako. huwezi kunitaja. Demiss alikataa. Au sikuelewa.
Kweli hamna shidaTaja tu kwani ukinuniwa nyuma ya keyboard kuna tatizo gani
Mtaje babu yako ajisikie farajaaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] humu wazee wengi
Hakuna shida Malaika wa giza. Inaonekana unapenda kudinyana gizaniKweli hamna shida
Ameenda kwenye mwezi...Bibi yuko wapi lakini [emoji847][emoji847]
Anaenda Mbande mvutiHahaha anaenda chamanzi au mzinga kongowe
Aisee sema alikuwa mnene mweusi hatar
Hapa tunapita kama vile mwembe ulio kosa maembeDuuuuu tufanyeje sasa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani uzee ni tusi sweetleeNgoja wakusikie [emoji23][emoji23][emoji23]