Sure, pamechangamka sana..Pazur sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wa siku hizi ni wanawake kitabiaaahuu uzi ulikuwa mzuri wachangie ke tu nyie muwe wasomaji!na ingebidi utoe sabab pia!lakin badala yake wanaume wanalilia kutajwa!hauna tena ladha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wa siku hizi ni wanawake kitabiaaa
umesemaaaa!!!1natuma salam..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wa siku hizi ni wanawake kitabiaaa
hahahaha unawasapot bila ht pesa? lol
Siwaseme tu kwani kukubali mtu si kawaida tu. Sio lazima iwe kama vileHahahahhaha wanaogopa kuchanganya madesaaa
hhhqhqhqhq leo hapanaaaTia neno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]
Aaahhh ngoja basi nitengeneze ID ya kike niwe namimi kwenye nyuzi kama hizi nijipe maujiko mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Oooh mtu labda ana makolon 7 hawez kujiharibiaaa jf kichaka cha gizaa