Seems like I'm exposed!Leo unakazi ya kutumbua majicho tu!!
Hahahaaa! Mpe siri ya mafanikio ya EMT basi.
Seems like I'm exposed!
Miss uNdukiiiii!!
Mh!, my dear, mafanikio sio wanayaona wenye Mali zao?!
Halafu huyu KANA mzee wa Mistari huyu, naona huwa anaogopa kuidondosha sana asije pata foleni. [emoji16]
Ahahahahah chaliiiNajionaga Don humu ila kumbe sikubaliki kabisa hata na kigori mmoja. Dah
Miss u
Kajitahidi leo kupita pita yupo busyHata salamu loooh wewe shem wangu wa nguvu kwa msomaliii
Hata wewe asee Mama Sabrii?Ahahahahah chaliii
Atakuwa anairusha mafichoni.
Mi nimetaja mme wangu anaenipa kiburii chaliiHata wewe asee Mama Sabrii?
Nipo mama kama kawaida yako kupoteaUpo mama? Miss you too.
Kwamba tofauti na mmeo humkubali kidume mwingine yeyote humu?Mi nimetaja mme wangu anaenipa kiburii chalii
O. k, iko siku nitalitafutaLipo karibu na mwanga bar limejifichaaa
Ukikumbuka uniambieNimesahau khaaaaa majanga