[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona unawakilisha, vip mashule hamjafungua tu?Ni umri tu ndo haujaniruhusu kuimwaga hadharani. I'm turning 18 next month!
Duh [emoji37]Sivutiwi na yeyote zaidi yake
Sijui nilikukoseaga nini we mwanamke!Wabaya sana hawa wa hivi ujue, kamejikausha na kulalamika juu. Kumbe kanajua anayoyafanya mafichoni.
Ndio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye avatar ni ww
Sijui nilikukoseaga nini we mwanamke!
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hapana, haujapatia!Ujue sijakuelewa!!
Kuna rafiki yangu anajiita kana ila jina lake ni elikana, sasa mie nimeunga tu matukio. Usiniambie nimepatia!!!!!!!
Hahahha KIGAGULA sema kalumanzilaHuku unakoelekea unanitafutia kuteremshwa mshipa na yule kigagula wako.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaahhh ngoja basi nitengeneze ID ya kike niwe namimi kwenye nyuzi kama hizi nijipe maujiko mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Hapana, haujapatia!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Umeonaeee hebu fanya mchakato unitafutie mtu anitaje na mimi ikiwezekana nitamlipaHahahahahahah uuuh alafu wewe ni mhenga jf jaman hujatajwa huu ni uonevuu
Huonagi shida kunipa skendo!Hahahaaaaa!!!
Usijikaushe MOTP