Member wajf msaidieni rafiki yangu.

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
Anatatizo pindi aendambo kukojoa anajikuta sha.hawa zinamwagika kwanza halafu ndo mkojo unafuatia!
Je tatizo ni nini?
Je kwa baadae swala la nguvu za kiume itakuwaje?

Msaidie ushauri wenu ni wa muhimu.
 
Anatatizo pindi aendambo kukojoa anajikuta sha.hawa zinamwagika kwanza halafu ndo mkojo unafuatia!
Je tatizo ni nini?
Je kwa baadae swala la nguvu za kiume itakuwaje?

Msaidie ushauri wenu ni wa muhimu.

Anajuaje kuwa ni shahawa? isijekuwa ni usaha.
Aende hosp kupima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…