Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Habari,
Mara nyingi watu hujifunza na kupata some exposure kutoka kwa mtu fulani na hasahasa mara nyingi watu huvutiwa na mengi kutoka kwa members wa JF, inaweza ikawa sio character halisi ya mhusika lakini akavutiwa tu na namna anaplay part kwenye platform
Je, ukipewa nafasi ya kumuuliza member yeyote wa JF, ungemchagua member yupi na ungemuuliza swali gani?
NB: Haimaanishi huyo member ni lazima ajibu hilo swali ni uamuzi wake pia ila akiweza anaweza kuja kujibu.
Mimi binafsi ningemchagua Miss Natafuta na ningemuuliza, je ameshampata yule aliyekuwa anamtafuta?