Anasema mi nitaenda motoni sijui kajisahau yeye mambo yake mbalimbali!..
Namkumbusha tu asizani hatumjui tunamjua ila tunafutika tu kombe ili mwanaharamu apite!..
Namkubali sana mkwepu jr .
Yeye hajawahi kuanzisha mada na huenda hataanzisha kabisa sema yeye kazi yake ni kulike mada za watu na comments zao na inapobidi huchangia kidogo sana.