Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
"Hongera sana kwao kwa Mafanikio waliyoyapata"
Hii kitu jamaa hawawezi weka, Wabongo tunajuana kwa Roho zetu Mzee!Na wenye dislike nyingi ni wakina nani?
Hahahaha.Hii kitu jamaa hawawezi weka, Wabongo tunajuana kwa Roho zetu Mzee!
Inategemea na unachoandikaSasa mbona ni Aibu,,msg zote hizo mitandanoni?? Ngoja nipunguze
πππNasikia likes wanaenda kuzitoa M-pesa!
kupata hizo likes ni.mafanikio pia huoni huko youtube watu wanaziomba likes teh teh tehWalichofanikiwa ni nini hasa? Ili tujifunze nasisi hayo mafanikio yao.