Teh Teh kwani ni kweli kuna wachawi humu?
Uko jukwaa gani huo uzii?
Hata siuonii jukwaa hili hili la wachawi
Umepaniki kisa wamesemwa vibaya AY na MwanaFA? teh teh we jamaa una mahaba niue na hao watu. Diamond daily anapondwa humu ila hukuibuka na post ya kumtetea,ila leo umeibuka na post hii kisa wamekupondea AY wako doh...pole sana!
Ila wewe Deo si ndio mwana FA,asiyekujua nani lol

Haaahaaa,name calling hairuhusiwi humu!!!!!
Mimi ni Deo mbona hata no yangu kule Jukwaa la matangazo iliyoishia 20 imesajiliwa Deo Haule!!
Mimi mngoni hasa,na Fa ni msambaa huko!!
Alaa...!
Kumbeee ni hivyoooo
Haya mkuu,nilijua utapanick na kunishushua lol.....ila sitanii mie huwa nadhaniaga wewe ni mwana FA...sijui kwa nini...
Mama alinikataza kugombana na watoto wakike wenye majina mazuri kama lako!!!
Why unadhani mimi ni Hamis?
Umepaniki kisa wamesemwa vibaya AY na MwanaFA? teh teh we jamaa una mahaba niue na hao watu. Diamond daily anapondwa humu ila hukuibuka na post ya kumtetea,ila leo umeibuka na post hii kisa wamekupondea AY wako doh...pole sana!
Haaahaaa,name calling hairuhusiwi humu!!!!!
Mimi ni Deo mbona hata no yangu kule Jukwaa la matangazo iliyoishia 20 imesajiliwa Deo Haule!!
Mimi mngoni hasa,na Fa ni msambaa huko!!
Hamis Corleone Mwinjuma na Deo Corleone
Sababu unafanana na Hamis Hamis lol