Membership education Approach(EdAp)

EdAp

Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
9
Reaction score
1
Asasi isiyo ya kiserikali ya Education Approach inatoa nafasi kwa watu wenye taaluma ya Elimu (ualimu) na watu wenye ujuzi katika masuala ya sayansi kujiunga kuwa mwanachama wa Asasi, kwa ajili ya kushiriki katika shughuli mbalimbali za miradi ya Asasi. Kwa maelezo zaidi piga # 0715922392, 0767922392, 0714025656, na tembelea page yetu katika facebook "education approach"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…