james brown
Member
- Sep 10, 2013
- 14
- 1
Duh...! Haya kijana pita ndani
Haya single girls na ladies,changamkeni hapo....
Karibu jf
hey wadau mko pouwaa? new member in the house of great thinkers! naipenda jf xanaaa na matarajio yangu ni kuwa gold member wa jf,kiukwel inasaidia kupata info za fasta na za uhakika though c zote ila zna effect flan hiviii,na 4 further info unaweza ukantafuta kupitia no.0756734797 especially single galz and ladyz cz i hav more thngz 4 u guyz,as usual nakaribisha maoni yenu
Teh teh teh kaz kwel kwel
Karibu JF. JB miandiko ya namna hii hatuitaki humu.
Karibu sana. I love your derby, ila sasa hizo x wenzio huwa hatuelewi manake umri ushasonga.
Kuna single ladiez, mamaz na bibiz? Wote tukutafute?
Umeshatuma maombi kwa huyo mgeni au haupo single?
Hawa wanafaa kutandikwa bakora maana sasa imekuwa too much....
Hawa wanafaa kutandikwa bakora maana sasa imekuwa too much....
Anafikiri JF ni kama FB!Karibu JF. JB miandiko ya namna hii hatuitaki humu.