Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Zitto Kabwe can’t be serious!Well said..
Zitto kabwe anajua nini anafanya. Nia yake siyo Membe kushinda uchaguzi.Zitto Kabwe can’t be serious!
The guy is doing very good business with politics,trust me he is very serious.Zitto Kabwe can’t be serious!
Mazee kumbe unaweza kushusha mistari eeh..ACT WAZALENDOOOO!!
..SHUSHA TANGA. PANDISHA TANGA. MAPAMBANO YANAENDELEA...
Twitter inapotosha sana watu aisee."Kachero-kuntu" yupo yupo tu ilimradi kusukuma jahazi la uchaguzi.
Kazi yake ya kimkakati ni kugawa kura za chadema na kuonyesha kwamba Tanzania kuna demokrasia (endapo chadema wangejitoa?)...
He believed in his own hype!The guy is doing very good business with politics,trust me he is very serious.
Mazee kumbe unaweza kushusha mistari eeh
Ngoja nimsikilize..mistari siyo ya kwangu.
..Ni ya kada wa ACT anaitwa Chaurembo...
Ama kuna ‘method to his madness’ au jamaa yuko delusional kinoma!Lissu hana wapambe wengi wa mitandaoni. Tena wakati huu wa kampeni, mitandao imejazwa maroboti mengi ya kumdidimiza Tundu Lissu. Haya ni maroboti yaliyoundwa kwa mkakati maalumu.
Ninachokiona ni kwamba, wafuasi wengi wa Lissu wako mitaani.
Hii wala haihitaji sayansi. Angalia tu hadhira iliyopo kwenye mikutano yake. Ni mtu mwenye ushawishi na anayekubalika.
Membe mikutano yake ina watu kumi. Watano kati yao ni makachero wa TISS. Watano waliobaki ni hohehahe wasio na kazi maalumu.
Sijazungumza bado kuhusu matrekta na matela yanayobeba watu kwenda kwenye mikutano ya yule jamaa yenu. Kaamua mpaka kutengeneza fiesta.
Facts zinajizungumza zenyewe. Huu wala sio ushabiki. Ni facts tu.
In theory.Membe still running? [emoji1787][emoji1787]
Hivi kweli Membe aliwahi kuwa jasusi?In theory.
Hata Zitto kiongozi mkuu wa chama chake amesema atampigia kura Lissu.
Ni vigumu kwa wengine kumchukulia Membe seriously.
Membe alitaka kukuza jina na kuwachangisha watu wa nje apate kidau.
Hakutaka kuwa rais.
Tatizo "jasusi mbobezi" ka boogie step, karudi na hela airport, watu wakazidaka wakamputa.
Sijui alifikiri bado ana "diplomatic pouch"?
Tangu hapo naona hata mchezo wa kuigiza kutaka urais umekuwa mgumu.
Diplomatic corps imejaa majasusi. Hili linaeleweka dunia nzima.Hivi kweli Membe aliwahi kuwa jasusi?
I find it hard to believe!