teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake.
kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile TRA na Benki wanavyofanya sijui nitakuwa nimeeleweka.
Mimi ni Kartibu wa Kanisa na nina majina zaidi ya 1000 ambayo ukianza kutafuta kwa ku scroll inachukua muda mrefu